Chakula ni jambo la lazima kwa binadamu. Uhifadhi wa chakula kabla ya ujio wa majokufu katika karne ya 18, ulihusisha mbinu za asili. Katika nchi za Ulaya zenye baridi kali, mapande ya barafu na ...